“Kifo cha Mkapa kinaugusa ulimwengu” President KAGAME

14,482
Kwibuka30
Kwibuka30

President Paul Kagame wa Rwanda aamizwa sana na kifo cha Mzee Mkapa

Tumehuzunishwa na kifo cha Mzee Mkapa, salamu zangu za rambirambi kwa Familia yake, Watanzania wote na kwa rafiki yangu Rais Magufuli, kifo cha Mzee Mkapa kinaugusa ulimwengu mzima mchango wake wa harakati za muungano wa Afrika ulivuka mipaka ya Tanzania”-Rais wa Rwanda, Paul Kagame

Leave A Reply

Your email address will not be published.