“Silali usiku sababu ya utawala mbovu wa Trump” Michelle OBAMA

11,106

Ninaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito ninaoubeba moyoni.

“Huu sio wakati mzuri, kiroho. Najua ninakabiliana na kiwango fulani cha sonona.

“Sio tu kwasababu ya karantini, lakini kwasababu ya ubaguzi wa rangi, na kushuhudia tu utawala huu wa Donald Trump, na kutazama unafiki ndani yake, kila uchao, kunavunja moyo.”

Mke wa rais mstaafu wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama amekiri kuwa anaugua sonona (Depression).

Michelle anasema anapitia matatizo na amekuwa na changamoto ya kuendeleza ratiba yake ya kufanya mazoezi ya viungo na kulala.

This image has an empty alt attribute; its file name is 117356199_4114890171919558_3572938235310236692_n.jpg

Comments are closed.