Ikiciro
Iga igiswahili
Mashaabiki washtushwa na taarifa ya Aubemeyang Kujiunga na Chelsea
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameshangaza watu baada ya kuibuka kwa taarifa za kuwa anafikiria kuhamia Chelsea mwezi Januari. Aubameyang mwenye umri wa miaka 31, ameonyesha nia hiyo ya kuhamia The Blues!-->!-->!-->!-->!-->…
Mke wa Rais wa Brazil aambukizwa Coronavirus
Mkewe Rais wa Brazil Jiar Bolsonaro amepatikana na virusi vya corona, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya ikulu Habari kuhusu kuambukizwa kwake yanajiri siku chache tu baada Rais huyo kupona Virusi vya corona vimetikisa nchi ya Brazil!-->!-->!-->!-->!-->!-->!-->…
Faida za kiafya kwa wanawake wenye makalio makubwa
Licha ya mvuto yaliyonayo yakiwa kwenye jinzi, makalio makubwa ya wanawake ni kinga kwa kisukari na magonjwa ya moyo. Wataalamu wa afya wanadokeza kwamba makalio ni muhimu kwa afya ya binadamu kwani huwezesha kusimama na kutembea vile!-->!-->!-->!-->!-->…
“Kifo cha Mkapa kinaugusa ulimwengu” President KAGAME
President Paul Kagame wa Rwanda aamizwa sana na kifo cha Mzee Mkapa Tumehuzunishwa na kifo cha Mzee Mkapa, salamu zangu za rambirambi kwa Familia yake, Watanzania wote na kwa rafiki yangu Rais Magufuli, kifo cha Mzee Mkapa kinaugusa!-->!-->!-->!-->!-->…